Sema unataka nini usaidiwe, ila uwe tayari kuamsha popo sio kulia lia kama pimbi yupo kwenye joto.
Kuna umri ukifika hata usikie mwenzio anachepuka " kimoyo moyo unasema shauri yake"
Lakini umri bado,
damu inachemka mtafumaniana sana
KUna vitu vya kumliza mwanaume siyo mahusiano, mwanamke mbona wapi wengi