Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 8,922
- 16,202
Yanga anaongoza ngapi huko??Naomba nihesabu Mkuu.
Moja, mbili , tatu , nne , tano.
Yanga anaongoza ngapi huko??Naomba nihesabu Mkuu.
Moja, mbili , tatu , nne , tano.
Kwani mpira ushakwisha eee? Au zimeshafika tano? Teh teh
Niko mbali na Tv ndio maana nataka nyie wenye matokeo mnijuze.Yanga anaongoza ngapi huko??
ahahahaNiko mbali na Tv ndio maana nataka nyie wenye matokeo mnijuze.
Mie naomba sana Mungu atukutanishe Simba na hawa Vyura
Midomo iishe sio kwa dharau waliyo nayo saivi
Uuwiii. Shemela umekuwa kama Manara leo naona umetumia lugha ya Malkia ili isilete ukakasi. 🤣🤣🤣We have serious problem in our goal keeping section . Head Coach should be clearly told that we need a top stopper of Kakolanya caliber.
Mkutane mara ngapi na mabingwa x 27 wa ligi kuu ya Tanzania?Mie naomba sana Mungu atukutanishe Simba na hawa Vyura
Midomo iishe sio kwa dharau waliyo nayo saivi
Usicheke Mtani. Leteni Updates.ahahaha
hizi goli alipigwa mtu taifa.RIP MAFISANGO
Presha shemela.Uuwiii. Shemela umekuwa kama Manara leo naona umetumia lugha ya Malkia ili isilete ukakasi. 🤣🤣🤣
Litarudi tu Insha Allah.
AS VITA.