Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,053 Reaction score 134,365 Mar 16, 2021 Thread starter #61 20' Simba 1 - 0 Al Merrick
sky soldier JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 5,406 Reaction score 19,361 Mar 16, 2021 #62 Goal Simba inaongoza kwa goli 1 Your browser is not able to display this video.
Pununkila JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 687 Reaction score 1,714 Mar 16, 2021 #63 Hawa tunawanywa supu....
K Kioski Member Joined Nov 24, 2017 Posts 93 Reaction score 106 Mar 16, 2021 #64 FRANCIS DA DON said: Si tunataka mambo ya simba, wengine hatuoo kwenye TV Click to expand... Simba 1
Encryption JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 999 Reaction score 1,356 Mar 16, 2021 #65 Hamsa leo hawa Sent using Jamii Forums mobile app
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,281 Reaction score 24,064 Mar 16, 2021 #66 Dam55 said: Safi sana ila wapunguze kukosa magoli ya wazi hii mechi tunatakiwa kushinda gali hata 5 kwa uhakika zaidi. Click to expand... Indeed. Mpaka sasa nyavu za Simba hazijatikiswa na timu yoyote lakini tuna ukame wa magoli japokuwa tuna points nyingi.
Dam55 said: Safi sana ila wapunguze kukosa magoli ya wazi hii mechi tunatakiwa kushinda gali hata 5 kwa uhakika zaidi. Click to expand... Indeed. Mpaka sasa nyavu za Simba hazijatikiswa na timu yoyote lakini tuna ukame wa magoli japokuwa tuna points nyingi.
Encryption JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 999 Reaction score 1,356 Mar 16, 2021 #67 As Vita hali mbaya huko Sent using Jamii Forums mobile app
park don JF-Expert Member Joined Dec 2, 2017 Posts 4,950 Reaction score 7,090 Mar 16, 2021 #68 Ahsante Luis
homeless1 JF-Expert Member Joined Sep 24, 2020 Posts 427 Reaction score 951 Mar 16, 2021 #69 NAWATAFUNA said: Morison kafanyaje uko? Dah kaaribu au? Click to expand... Morrison anapiga kazi kinoma Ila Onyango ana kazi ya kubwa sana ya Ku clear Kazi ya mjinga Kennedy almanusra wapate penalty
NAWATAFUNA said: Morison kafanyaje uko? Dah kaaribu au? Click to expand... Morrison anapiga kazi kinoma Ila Onyango ana kazi ya kubwa sana ya Ku clear Kazi ya mjinga Kennedy almanusra wapate penalty
park don JF-Expert Member Joined Dec 2, 2017 Posts 4,950 Reaction score 7,090 Mar 16, 2021 #70 Inabidi tuwachangamkie tuwapige nyingi harakaharak kabla hawajachangamka
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,053 Reaction score 134,365 Mar 16, 2021 Thread starter #71 25' Simba 1 - 0 Al Merrick
D devijoy JF-Expert Member Joined Oct 25, 2018 Posts 1,031 Reaction score 1,369 Mar 16, 2021 #72 Scars said: Al ahly naye katupia lapili Click to expand... Doh Mtu anaweza kufa 5 kwake
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,081 Reaction score 23,702 Mar 16, 2021 #73 Mwalimu wa Zamu Tz said: Uku Al ahly anauwa mtu Click to expand... Mkongo anajuta kupata sare Misri
park don JF-Expert Member Joined Dec 2, 2017 Posts 4,950 Reaction score 7,090 Mar 16, 2021 #74 Ahly bas limewaka anaongoza 2 dhid ya vita, go simba!!
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,028 Reaction score 59,657 Mar 16, 2021 #75 papason said: Wazzee wa live stream ebu tupien link Click to expand... Nenda facebook Kwenye search weka simba vs al merrikh live
papason said: Wazzee wa live stream ebu tupien link Click to expand... Nenda facebook Kwenye search weka simba vs al merrikh live
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Mar 16, 2021 #76 OKW BOBAN SUNZU said: 25' Simba 1 - 0 Al Merrick Click to expand... Mnyama kwenye ubora wake
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,053 Reaction score 134,365 Mar 16, 2021 Thread starter #77 park don said: Inabidi tuwachangamkie tuwapige nying harakaharak kbl hawajachangamka Click to expand... Kabisa mkuu, hili kundi gumu GD ni muhimu
park don said: Inabidi tuwachangamkie tuwapige nying harakaharak kbl hawajachangamka Click to expand... Kabisa mkuu, hili kundi gumu GD ni muhimu
Nuraty J JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 1,724 Reaction score 3,834 Mar 16, 2021 #78 Safii
homeless1 JF-Expert Member Joined Sep 24, 2020 Posts 427 Reaction score 951 Mar 16, 2021 #79 Tumekosa magoli ya wazi possession 79% simba wakati 21% na goal letu kuna offside ilitokea
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,944 Reaction score 119,344 Mar 16, 2021 #80 Namuona tu Sarpong Mugalu akikosa goli la wazi kabisa! Goli ambalo hata mimi katika uzee wangu huu nisingeweza kulikosa! Yaani yeye na golikipa, anataka kufunga kama Lionel Messi!! Angekua Kagere, asingekosa goli la wazi kama lile.
Namuona tu Sarpong Mugalu akikosa goli la wazi kabisa! Goli ambalo hata mimi katika uzee wangu huu nisingeweza kulikosa! Yaani yeye na golikipa, anataka kufunga kama Lionel Messi!! Angekua Kagere, asingekosa goli la wazi kama lile.