Hapana,tunamaliza na Al Ahly kwao..ila kiuhalisia hiyo game hatutoki..na ndio maana nikasema game ya As Vita ndio ya kuamua..yaani kiufupi kundi bado gumu.
Dk.90 zimekamilka...Kutoka kibanda Umiza ..... Utopolo wote walishaondoka wamebaki wekundu wa Msimbazi tu ..! Hongera Utopolo ambao bado mpo ndani ya Uzi huu yaani mmetisha...!