Mpira ni uchawi mkubwa sanaaa. Leo nimeota Simba hawajafuzu robo fainal.
hii ni baada ya kupigwa match zote mbili zilizobaki, hivyo akaringana na Vita club ila Vita ikasonga mbele kwa advantage ya magoli mengiπ keep waiting. hii coment itakuja kufanyiwa reference wakuu. najua mtasema mm utopolo. sawa ila ndoto zangu zinakuwaga 100%π€£π€£π€£