Ruvu shooting
tunawatakia ushindi wawakilishi wetu katika mashindano
ya #CAFCL timu ya SimbaSC
katika mchezo wao leo pale Dar es salaam
Ruvu shooting
tunaendelea kuwaunga mkono wawakilishi wetu katika mashindano ya kimataifa Tunasema tofauti zetu ni katika ligi
kuu