Hivi wakulungwa game ijayo na As Vita si ndio itakua do or die kama matokeo yakibaki hivi? It means Vita hatakubali kufa tena..na wakati huo mnyama atakua anahitaji point moja ili afuzu robo fainali.
Hapana, hapa unatafuta visingizio vya kitopolo kwa niaba ya Wasudan. Simba haijawanyanyasa, labda mkiingia kwenye ligi za CAF kwa mgongo wa Simba mwakani, pengine mtaelewa anayepima Covd19 ni nani
Acha ujinga wewe, kilichofanywa na Namungo ndiyo Simba wamekifanya leo, jambo ambalo ni fine tu......kwamba wanaopima ni wamalawi au? Na ina maana key players tu ndiyo wanaumwa? Mi nimeipenda tu fitna ya Simba