Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 4,697
- 6,852
Yanga imefanikiwa kuichakaza Tanzania Prisons Magoli 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa KMC, Dar es Salaam, hivyo Yanga imeendelea kuongoza kwa kuwa na alama 41 katika mechi 17, Prisons imebaki katika nagasi ya 15 kati ya timu 16 kwenye msimamo wa ligi hiyo ikiwa na pointi 13 katika mechi 18.