Wakuperuzi JF-Expert Member Joined Mar 31, 2023 Posts 2,844 Reaction score 6,692 May 14, 2023 #1 Weekend ndo nimeimalizia hvi na gemu ya ugenini. First half moja moja second half mbili moja gemu ilikuwa ya kawaida ila ya kuvutia. Wakulungwa inashangaza sna kusikia Kuna watu wanaleft mashindano maana c kwa utamu huu
Weekend ndo nimeimalizia hvi na gemu ya ugenini. First half moja moja second half mbili moja gemu ilikuwa ya kawaida ila ya kuvutia. Wakulungwa inashangaza sna kusikia Kuna watu wanaleft mashindano maana c kwa utamu huu
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,269 Reaction score 71,936 May 14, 2023 #2 big up kijana😂
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,091 Reaction score 111,712 May 14, 2023 #3 umeziona takwimu za UMMY lakini? Waziri Ummy " Vijana Tumieni Kinga,Maambukizi Yameongezeka" Tunawakumbusha tuu Hali ya magonjwa ya zinaa ikiwemo ukimwi ni mbaya.. Vaeni condom www.jamiiforums.com
umeziona takwimu za UMMY lakini? Waziri Ummy " Vijana Tumieni Kinga,Maambukizi Yameongezeka" Tunawakumbusha tuu Hali ya magonjwa ya zinaa ikiwemo ukimwi ni mbaya.. Vaeni condom www.jamiiforums.com
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,597 Reaction score 60,826 May 14, 2023 #4 safi sana kamanda, vyema kabisa takwimu za tacaids umeziona lakini ?
Wakuperuzi JF-Expert Member Joined Mar 31, 2023 Posts 2,844 Reaction score 6,692 May 14, 2023 Thread starter #5 mshamba_hachekwi said: big up kijana😂 Click to expand... Pmj mkuu
Wakuperuzi JF-Expert Member Joined Mar 31, 2023 Posts 2,844 Reaction score 6,692 May 14, 2023 Thread starter #6 dronedrake said: safi sana kamanda, vyema kabisa takwimu za tacaids umeziona lakini ? Click to expand... Ni gemu ya ugenini ila imechezwa na timu zinazofahamiana mkuu ni km Simba na al'ahly tu
dronedrake said: safi sana kamanda, vyema kabisa takwimu za tacaids umeziona lakini ? Click to expand... Ni gemu ya ugenini ila imechezwa na timu zinazofahamiana mkuu ni km Simba na al'ahly tu
Wakuperuzi JF-Expert Member Joined Mar 31, 2023 Posts 2,844 Reaction score 6,692 May 14, 2023 Thread starter #7 Half american said: umeziona takwimu za UMMY lakini? Waziri Ummy " Vijana Tumieni Kinga,Maambukizi Yameongezeka" Tunawakumbusha tuu Hali ya magonjwa ya zinaa ikiwemo ukimwi ni mbaya.. Vaeni condom www.jamiiforums.com Click to expand... Itifaki ilizingatiwa mkuu
Half american said: umeziona takwimu za UMMY lakini? Waziri Ummy " Vijana Tumieni Kinga,Maambukizi Yameongezeka" Tunawakumbusha tuu Hali ya magonjwa ya zinaa ikiwemo ukimwi ni mbaya.. Vaeni condom www.jamiiforums.com Click to expand... Itifaki ilizingatiwa mkuu
Jack Palladino JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 7,245 Reaction score 22,552 May 14, 2023 #8 Ni ngumu sana kuelewa why vijana wanaleft!😅
Wakuperuzi JF-Expert Member Joined Mar 31, 2023 Posts 2,844 Reaction score 6,692 May 14, 2023 Thread starter #9 Jack Palladino said: Ni ngumu sana kuelewa why vijana wanaleft!😅 Click to expand... Tamaa mkuu na kupenda utelezi
Jack Palladino said: Ni ngumu sana kuelewa why vijana wanaleft!😅 Click to expand... Tamaa mkuu na kupenda utelezi
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,091 Reaction score 111,712 May 14, 2023 #10 Wakuperuzi said: Itifaki ilizingatiwa mkuu Click to expand... vizuri sana mkuu