FULL magwanda

Napenda kujua wapi Nyerere aliwahi kuvaa nguo ya kijani na njano!
 
mNYENYEEVU SANA HUYU ANGALIA NA GARI LAKE
 
Mbona mbunge wa Ubungo anatumia toyota(vitz) inamaana toyota(v8) hazipo?Hicho kipindi kulikuwepo gari za gharama mafano gari aina ya benz.
 
By the way,, hakukua na VX by that time,,, kama akirudi leo halafu akaendelea kutumia 109 tungekubali huo UNYENYEKEVU

Umewahi kusoma Biography ya Mandela? Unataka nikutumie nukuu ya Mandela juu ya maisha ya chini ya Nyerere akiwa Rais ?
 
Napenda kujua wapi Nyerere aliwahi kuvaa nguo ya kijani na njano!

Hakuna, je hii inapunguza migogoro BAVICHA? Sasa kwa ushauri wangu futeni hizi ID mseto zinaongeza migogoro tu ndani ya chama chenu.
 
Nyerere anaona mbali sana. Yani alitambua nchi hii itaongozwa na watu wanaovaa magwanda.
 
Kama vile anataka kumcharaza mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…