Full HD TV na Android box ya 4k

hjr

Member
Aug 11, 2020
98
84
Msaada, kuna effect gani katika quality ya video itakayopatikana ukitumia Android TV box ya 4k (mfano mi box s 4k) na tv ambayo ina uwezo wa resolution ya Full HD.
 
Ili kuona 4k inabidi source na screen vyote viwe vina uwezo wa 4k. Kwahiyo hapo utaona 1080 tu iliyokuwa down scaled ila nadhani picha itakua nzuri kidogpo kulinganisha na average 1080
 
Ili kuona 4k inabidi source na screen vyote viwe vina uwezo wa 4k
Kwahiyo hapo utaona 1080 tu iliyokuwa down scaled ila nadhani picha itakua nzuri kidogpo kulinganisha na average 1080

Asante mkuu
 
Hakuna, vifaa smart vinajua ku adjust vyenyewe resolution.

Sema kuna Mi stick siku hizi ya Full HD kama unataka kusave.
 
Hakuna, vifaa smart vinajua ku adjust vyenyewe resolution.

Sema kuna Mi stick siku hizi ya Full HD kama unataka kusave.

kwa iyo mkuu, nitaendelea kuona 1080p ata kama nina 4k?au ata iyo 1080 quality yake yaweza pungua sababu natumia kifaa cha 4k?hapo katika kusave nimekupata maana mi s box 4k ipo juu kidogo
 
kwa iyo mkuu,nitaendelea kuona 1080p ata kama nina 4k?au ata iyo 1080 quality yake yaweza pungua sababu natumia kifaa cha 4k?hapo katika kusave nimekupata maana mi s box 4k ipo juu kidogo
Kama Mdau hapo juu Alivyosema quality haitapungua na kama TV yako ina support HDR quality itazidi kuongezeka japo tv si ya 4k.

Na ndio utaendelea kuona 1080p sababu ndio uwezo wa tv. Ili uone 4k vifaa vyote viwili vinahitajika kuwa na 4k.
 
Naaam nimekupata Chief Mkwawa
 
Huu uzi nime upenda maana nimeona kuna jamaa ana uza izo video box then qna danganya watu eti led tv uki connect na video box quality ya picture ina toka 4K
 
Huu uzi nime upenda maana nimeona kuna jamaa ana uza izo video box then qna danganya watu eti led tv uki connect na video box quality ya picture ina toka 4K
Kama kioo cha tv sio 4k huwezi pata quality ya 4k hata kama tv box ina support 4k.
 
Huu uzi nime upenda maana nimeona kuna jamaa ana uza izo video box then qna danganya watu eti led tv uki connect na video box quality ya picture ina toka 4K

jamaa anawapiga changa la macho wateja,iyo kitu haipo,kama tv sio ya 4k huwez pata ubora wa 4k ata kama tv box ni ya 4k
 
Back
Top Bottom