Watu wengi Sana hapa duniani hawana hamasa ya kwenda kusoma au kwenda kuishi kwenye nchi ambazo zina tawala zenye itikadi za Siasa za Kikomunisti/Ujamaa kama vile China, Urusi, Belarus, Korea ya Kaskazini, Cuba, n.k. Endapo kama Scholarship hizi zingetangazwa na nchi za Maggaribi zenye utawala wa kibepari, naamini kwa dhati kabisa kwamba mpaka Sasa tayari uzi huu ungekuwa umefika mbali sana, na huenda pengine nafasi tayari zingekuwa zimejaa, kusingekuwa na scholarship tena.