Fukuza Marekani nchini

Unaongea kwa mihemko bila fact yeyote pole sana naona povu tu hapa.
Pole sana kijana.
HII SIM YANGU YA MCHINA LAKINI OG HUAWEI KIJANA NADHANI UNAFAHAM KUWA IMEIPITA KIMAUZO SIM YA BWANA WAKO BEBERU IPHONE.

Halafu kuhusu masuala ya msaada ule ni unyonyaji ila ww huujui tu maana kichwa chako kimejaa kasumba.
Nishakujua empty headed wacha nikufahamishe masuala flan na wala sitakutukana km ufanyavyo.

Katafute nakala iloandikwa na UK inayoitwa "How imperialists benefits from fake AIDS to Africans".
Utayajua mengi sana humo.
Ukoloni mambo leo na poor colonial mindset kama yako ya kusema mzungu ndio kila kitu ndivyo vinatukwamisha sisi hapa nchini.
Tukizi wash hizo colonial mindset yenu basi huwenda tutakaa vema na kuiendeleza hii nchi.
Wafaa ujue hii nchi toka inapewa uhuru imeanzia wapi na inaelekea wapi??
kwann haikupiga hatua kwa kasi licha ya maliasili nyingi na ni nini tatizo??
Hivi ulishawahi kujiuliza haya maswali??
Basi kama ukikaa chini ukajiuliza waweza pata jibu na ukajicheka kwa pumba zako.
Halafu inaonekana hujui maana ya sovereignty.
Tunaweza kujiamulia tutakavyo kulingana na internal sovereignty yetu tuliyo nayo.

Punguza povu mwanamama leta facts.
 
We mwanamama mm sijapagawa mpk nakuquote ww.
Ninataka kukuondoa kasumba we mwanamama.
Hujui chochote kuhusu Iran we tulia.
Toka mwaka 1979 USA imetaka kufanya regime change kwa Iran kumuondoa Hassan Rouhani lakini wameshindwa .
Ni miaka 40 sasa hv we unasema ni suala la muda??

KIUCHUMI labda haujui km China anampumulia US makalioni maana US wakwanza China wa pili halafu gap lao la Nominal GDP ni $ 10 trillions halafu China anakua kwa 6% USA anakua kwa 2% na wanauchumi wamesha estimate mpk 2030 mpk 40 China anampiku US kiuchumi.
Na trade war USA hawezi kumshinda China yani anashindwa ktk trade war kiufupi.
Kuhusu nguvu ya kijeshi China ya tatu lakini kuna nguvu za sirini mwake ambapo hazijafahamika mpk sasa na alidhihirisha moja tu kule South China Sea akampa kitisho kimoja US aondoke na Navy seal yake South China sea na US akaondoka.
Mchina huyo unayemsemea ww.
Hatari sana achana naye.
Na bado atanyoroshwa vikali huyo beberu wako.





Usirudie kusema China si lolote kwa USA.
Tafadhali usirudie.
 
Siwezi kuwa na povu kwa vitu vya kijinga unavyoandika. Tatizo mnaongea sana kama chiriku wakati matendo ni sifuri. Umejificha kwenye ID feki ya JF na wewe unajiona mwamba. Hapo ulipo ni mwananchi wa kawaida sana na hauna hata power kwenye hii serikali ya Tanzania. ACHA KUJIFICHA NYUMA YA KEYBOARD KWA ID FAKE. KESHO NENDA UKASEME HAYO KWENYE VYOMBO VYA HABARI. HAPO ULIPO UPO KAMA MBWA ASIYEKUWA NA MENO, MWENYE NJAA NA ANAYEBWEKA HUKU AMEFUNGWA MINYORORO NA YUPO KWENYE KICHUMBA KIDOGO KISICHOKUWA NA DIRISHA. ENDELEA KUPIGA KELELE JF
 
inabidi tuangalie na upande wa pili asee sio tunafanya maamuzi kwa mihemuko.. tutashangaa kashilingi ketu kanashuka ghafla na sisi tunaanza kununua mkate mmoja kwa shiling lake nane kama Zimbwabwe.
 
Povu lingine.
Unaoyasema hayabadilishi uhalisia pole sana endelea kutoa povu hunijui kwahiyo tusikejeliane sana ndugu we endelea kutoa povu.
Pole na kwaheri.
 
Povu lingine.
Unaoyasema hayabadilishi uhalisia pole sana endelea kutoa povu hunijui kwahiyo tusikejeliane sana ndugu we endelea kutoa povu.
Pole na kwaheri.
Povu siyo povu utajua mwenyewe. ENDELEA KUPIGA KELELE JF. WEWE NI SAWA NA MBWA ANAYEBWEKA NA YUPO KWENYE KIBANDA KIBOVU KINACHOVUJA KICHAKAVU.
MIMI MWENYE SINA MUDA NA WEWE. SAWA WAMEKUSIKIA WATALIFANYIA KAZI JAMBO LAKO LA KUWATIMUA WAMAREKANI.
 
inabidi tuangalie na upande wa pili asee sio tunafanya maamuzi kwa mihemuko.. tutashangaa kashilingi ketu kanashuka ghafla na sisi tunaanza kununua mkate mmoja kwa shiling lake nane kama Zimbwabwe.
Wafrika aliteyeturoga alituweza sana. Unamkimbia Marekani unaenda kwa Mchina (Huyu ndiye mnyonyaji aliyekubuhu ni bora ya Marekani). Viongozi wa Africa huwa wanakufa kijinga sana. Unagombana na beberu halafu ukiugua unaenda kwa beberu kutibiwa lazima wakudunge sindano ya sumu. Ukiangalia viongozi wale wababe wote wa Afrika wakienda kutibiwa nchi za nje lazima waje maiti zao. Unagombana na Marekani halafu unaenda kutibiwa uingereza au Australia? Wewe utakuwa maiti tu.
 
Unaandika kitu ambacho huna uwezo nacho. Eti ningekuwa rais ningewafukuza, yaani ungekuwa wa kwanza kuwalamba miguu
 
Mkuu km umeshindwa kaa tu kimya sawa.
Nimekuaga kistaarabu acha upayukaji na matusi ilhali hatujuani.
Maana ww ndiye umepiga kelele na kejeli zisizo na msingi kibao badala ya kutoa hoja.
Km unashindwa kutumia uwerevu ni kheri ukae kimya hata mm sina muda na empty headed km ww.
Povu siyo povu utajua mwenyewe. ENDELEA KUPIGA KELELE JF. WEWE NI SAWA NA MBWA ANAYEBWEKA NA YUPO KWENYE KIBANDA KIBOVU KINACHOVUJA KICHAKAVU.
MIMI MWENYE SINA MUDA NA WEWE. SAWA WAMEKUSIKIA WATALIFANYIA KAZI JAMBO LAKO LA KUWATIMUA WAMAREKANI.
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…