Fukuza Fukuza Bungeni Ni double standard Wajirekebishe

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Fukuza fukuza ya bunge inashangaza hususani kwa watu tunaolifuatilia bunge letu na kuweka kumbukumbu sahihi.
Mfano bunge la kumi Godbless lema aliliambia bunge,Waziri mkuu pinda kalidanganya bunge kuhusu mauwaji ya Arusha,Wakati ule spika makinda alimtaka Lema kuleta ushaidi wa tuhuma hizo ndani ya siku 5
Lema alifanya hivyo na kila alipopmba kuwasilisha ushaidi wake Spika alimpiga danadana,Mpaka hatimae bunge la 10 likaisha muda wake.
Leo Jesca anafukuzwa bungeni kwa kuongelea mabehewa feki na tuhuma za mwakiembe juu ya mabehewa hayo.
Haraka haraka kapewa nafasi adhibitishe,Nimejiuliza mbona Lema hakupewa nafasi hiyo?
Ki ukweli jesca kafukuzwa lakini Mwakiyembe ndio alitakiwa adhibitishie bunge kama Jesca alidanganya na si Jesca hii Ni double standard.
 
Yaliyopita ni kwa ajili ya historia tu, ya sasa na baadaye ni muhimu sana. Take it
 
Back
Top Bottom