Fujo Baraza la Wakilishi Zanzibar

Fujo Baraza la Wakilishi Zanzibar

Kura ya maoni mwezi April haipo. Na kama ipo basi ni ya hapana..
 
haraka za nini lete habari kamili mwana JF huwa hatakiwi kukurupuka
 
Nimeona ITV sasa, wabunge wa baraza hili watokanao na CUF walikuwa wakipiga makele huku wakisimama juu, kutoruhusu mijadala kuendelea. kisa mjadala wa kuanzishwa kwa bandari mpya huko.

Source: ITV
 
Mkuu mimi nimeona ni suala la muswada wa sheria ya kura ya maoni ndio umeleta shida. Zanzibar wana sheria yao ya kura ya maoni iliyotumika wakati wanaandaa katiba yao na serikali ya umoja wa kitaifa. Sasa kuna hii sheria ya Kura ya maoni ya Tanganyika ambayo itatumika kwenye kura ya maoni ya katiba pendekezwa ndio imepelekwa Zanzibar ili ipitishwe na baraza kuwa sheria. Wajumbe wa CUF wanataka itumike sheria ya Zanzibar ambayo tayari ipo. Huo ndio mwanzo wa mbilingembilinge.
 
Waiopenda kusikia hayo shauri yenu, ndo hali halisi kwa sasa, mzee Kificho katoa macho kama panya kabanwa na mlango!!

Back
Top Bottom