Umewalipa advance ya shilling ngapi? Risiti unayo?Wakuu salaam Sana,Kuna jamaa Wana ofisi nzuri tu pale ubungo daraja opp na njia ya kwenda chuo kikuu Cha dsm na mmoja wao anaitwa Joshua .
Niliwalipa pesa vigaranga hawakunipa toka mwezi wa tisa mwaka Jana Hadi Leo na Sasa ofisi wamefunga simu hawapokei .
Nimechanyikiwa Sana maana ndio mtaji nilikuwa nautegemea kuendesha maisha na Nina familia .
Nimefanya kila juhudi wanalipe ila imeshindikana ,jamaa simu inaita tu na what's up yupo online ila hajibu msg .
Nilienda police urafiki wakasema jamaa anadaiwa na watu wengi Sana ! Kama hawana msaada nifanyeje?
Sio KILA mtu anarogeka, uchawi ni fikra za mtu duniHii yote ni sababu vijana wa sasa hamtaki imani za kichawi. Zamanu huwezi kusikia mtu amedhulumu pesa ya mwanaume kirahisi namna hiyo.
Nenda kwa babu yako kapige kipapai
Mkuu nishapambana Sana na katika kupambana huko alirudisha pesa kiasi , Bado nadai nyingi Kama 1.8m rist ninazo zote maana nililipia bank .Yani pesa umetapeliwa mwaka jana mwezi wa 9 unakuja kuchanganyikiwa leo january 22.
kwani hapo kati ulikuwa unafanya nn
Huyu bwana wamemuona "mnyonge "πππ akodishe mabaunsa wawili wakubwa haswa na akodishe landcruiser waliingia pale wanamfungulia mlango na kumlinda.Sio KILA mtu anarogeka, uchawi ni fikra za mtu duni
Dawa ni kujua familia ya boss wao inakaa wapi.Huyu bwana wamemuona "mnyonge "πππ akodishe mabaunsa wawili wakubwa haswa na akodishe landcruiser waliingia pale wanamfungulia mlango na kumlinda.
Anaingia amevaa suti moja hatari anawapiga mkwara mmoja jamaa watatoa hela.
Akizubaa anatapeliwa maana inaonekana hao wahuni wanacheza dili na polisi wa urafiki, polisi hawezi kukujibu eti hao wanadaiwa sana. So Ina maana wanajua na hawataki kuwakamata kwa nini?
Kituo cha polisi cha Urafiki hakijaacha kufanya uhuni tu???
Mkuu hiyo ni hatari anaweza kuchukua mkeo ukakosa vyoteπππDawa ni kujua familia ya boss wao inakaa wapi.
Unahamisha familia yako na wewe kwake mnakula hadi deni liishe ndo mtaondoka ukifanya hivi siku tatu tu pesa yako umelipwa
Pole mkuu hakuna kitu kinachouma kama dhulma, wizi na usaliti na hii tabia anayo sana mbongo. Utakuta naye akilizwa anakuja juu kwa jazba badala atulie na kupotezea.Wakuu salaam Sana,Kuna jamaa Wana ofisi nzuri tu pale ubungo daraja opp na njia ya kwenda chuo kikuu Cha dsm na mmoja wao anaitwa Joshua .
Niliwalipa pesa vifaranga hawakunipa toka mwezi wa tisa mwaka jana hadi leo na Sasa ofisi wamefunga simu hawapokei.
Nimechanyikiwa Sana maana ndio mtaji nilikuwa nautegemea kuendesha maisha na nina familia.
Nimefanya kila juhudi wanilipe ila imeshindikana ,jamaa simu inaita tu na what's up yupo online ila hajibu msg .
Nilienda Polisi Urafiki wakasema jamaa anadaiwa na watu wengi Sana !
Kama hawana msaada nifanyeje?
Hahahha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ila watuYani pesa umetapeliwa mwaka jana mwezi wa 9 unakuja kuchanganyikiwa leo january 22.
kwani hapo kati ulikuwa unafanya nn