Viko sehemu gani?Hahahaa bei yenu ipo juuu sana kifaranga wa siku moja shilingi 3000?
Bado sijaingia kwenye risk ya kumtunza?
Hapo hunipati ukienda kwenye vituo vya wizara wanauza kwa shilingi 2000 ambayo ni bei elekezi
We ushahidi kuwa wanaropoka tuu, na wanachosema ni uongoHawa wanaosema kuwa walisha wahi fuga kuku wa aina mbalimbali na wote wakawa na ukuwaji na utagaji unao shabiana imradi umewapa lishe bora ni waongo mnoo.Wengi wao hawajawahi hata fuga kuku kazi yao ni kuropoka tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanapatikana Mahina, ila wanauzwa kuanzia mwezi 1 (4500/=) wamepatiwa chanjo zote muhimuSina uhakika, mkuu lakini wanaweza kuwepo. Kama kuna mtu anafahamu anaweza kukujuza hapa JF