Natafuta hiyo generator isiyotumia mafuta, Kama kuna fundi anaeweza kutengeneza tuwasiliane. Naona India wanazitengeneza nafikiri hata hapa nchini pengine wapo wajuzi.
Acha kujidanganya na video za YouTube hakuna kitu Kama hicho watu wangeacha kutumia mafuta ya mrusi huko wangeachan na project kubwa Kama fusion reactor na artificial photosynthesis