Fuel delivery service

Sam SD

Member
Joined
Oct 26, 2022
Posts
8
Reaction score
5
Kama title inavyojieleza hapo juu wakuu,mimi ni mtu wa masoko kutoka kampuni ya Riyakh logistics,kampuni yetu inahusika na usambazaji wa mafuta ya petrol pamoja na diesel mahali popote pale ndani ya Dar es salaam.
Kwa mawasiliano zaidi unaweza kutupigia kupitia 0712666415
 
Nje ya nchi inawezekana !?
0768441304 au 0659340324
 
ungeweka na bei ya mafuta yenu per litre ingekuwa vizuri zaidi mkuu
 
Naomba niiweke sawa hii wakuu,kampuni yetu inahusika na uuzaji na usambazaji (mobile fueling), unatupigia simu tunakuletea mafuta popote ulipo ndani ya Dar es salaam
 
Wewe ndio mtu wa masoko?? Mbona hujauza bidhaa yako??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…