Fuel consumption: Harrier, Model; XU10 2.4L; YEAR 2002

Ukaridayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
516
Reaction score
478
Kama kichwa Cha hbr kinavyojieleza, mwenye uzoefu na hicho chombo Cha usafiri hasa ktk mizunguko ya kawaida town (mwanza)

Matumizi ya mafuta
Pamoja na changamoto zingine kama zipo.

Karibu.
 
Kama kichwa Cha hbr kinavyojieleza, mwenye uzoefu na hicho chombo Cha usafiri hasa ktk mizunguko ya kawaida town (mwanza)

Matumizi ya mafuta
Pamoja na changamoto zingine kama zipo.

Karibu.
9km /L , at good contion hata 10km/L
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…