Mkuu itakuwa ni receiver maana nilijaribu kutumia decoder ya Azam haikuleta tatizo kabisa ila ilikuwa ya kuazima kwa mtu, nimejarbu kutafuta madukan waniuzie decoder ya Azam yenyewe wanuza 80,000 CHIEF MKWAWA.
Ndio mpg4 yoyote itafaa ingawa pia kuna baadhi ya matoleo zinakatakata pia ila hazijafikia hicho kizuku.kama utanunua wiztech nakushauri usinunue 8035 ni ovyo sana