Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,984
- 134,133
maiti imemganda muoshaji
Hahahaha ya-mbwa tena??Yambwa kafungwa 2



.Bora wakakalie dole lile la metacha walisikilizie maana mwiko hauwatoshi
Sasa hii kitu ganiHahahaha ya-mbwa tena??
84Kwani dkk bado ngapi mpira uishe??
9...Bado dakika ngapi
Hahaa hama timu ww utakufa na presha bureYanga wapumbavu kama wengine tu, fiston ni wakucheza dk 70, halafu unataka matokeo. Jinga kabisa hata kocha tu.
Kwa hali hii upeleke timu kucheza na mikia si unapigwa 7 kabisa.
Sawa kabisaaa refa amalize mpira sasaYambwa kafungwa 2