Mbuta Likaso
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 5,444
- 10,606
Malindi sio timu ndogoYanga walianza kufunga first half kupitia kwa Deus Kaseke, na baadaye kwenye dakika za lala salama (dk.94) Malindi wakasawazisha na hivyo mpira kuisha kwa magoli 1 - 1.
Niliyobaini kwenye mechi hii:
Kwanza;inaonyesha Yanga hawajajipanga kwa michuano mikubwa.Kwanini nasema hivyo?Huwezi kusema eti unaenda kushindana kwenye CAF CL huku kwenye maandalizi unacheza mpira wa hovyo,usio na mipango namna ile.
Pili;Kuna maeneo Yanga wamejitahidi kusajili.Nawapongeza kwa kuwa na Mohammed Issa 'Mo Banka', Deus Kaseke mpambanaji,na wengine wachache.Hawa jamaa wanajituma kwakweli,lakini wengine mmmmhhh...!!
Tatu;Huyu mchezaji mliyetufanyia surprise (David Moringa) ni mzigo kwa timu,yaani kwa huyu watani zetu mmepigwa mkapigika hasa.Hivi mlisajili mcheza soka, mbeba vitu vizito au bodyguard? Mechi dhidi ya Kariobangi nilimwona anaruka ruka tu kwenye zile dakika 5 alizopewa.Leo kafanya yale yale kwa dakika takribani 70.
Eti mlikuwa mnasema Simba imeibiwa kwa wale Wabrazil?Nyie itakuwa ni zaidi ya kuibiwa.
Anyway,watani zangu mna nafasi ya kujipanga kwa ajili ya TPL tu,huko kwingine wala msisumbuke.Na kwa aina ya wachezaji mlionao, malengo yenu mwaka huu nadhani ni kuishia nafasi ya 3 kwenye TPL.Mnasikitisha!😱
Ko malindi ni timu kubwa eeh?Malindi sio timu ndogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie mikia ongeeni porojo tu, Yanga ndio mabingwa wa CAFCL 2019/2020
Yanga nyuma mbele daima mwiko.
Ntaenda mpaka ikulu uchi na kurusha mawe Lugalo kambi ya jeshiNyie mikia ongeeni porojo tu, Yanga ndio mabingwa wa CAFCL 2019/2020
Yanga nyuma mbele daima mwiko.
[emoji3][emoji3][emoji3] mzee baba Yanga waachie wenyewe tu,Afu Yanga mnaonesha jinsi gani hamna wataalamu wa afya, inakuaje unacheza mechi Leo afu Kesho kutwa una mechi ngumu.
Au mnafikiri FIFA hawana akili kuweka masaa 73
Unabisha? Hujui kuwa tuna streika la kimataifa MOLINGA.Ntaenda mpaka ikulu uchi na kurusha mawe Lugalo kambi ya jeshi
[emoji849][emoji849]Nyie mikia ongeeni porojo tu, Yanga ndio mabingwa wa CAFCL 2019/2020
Yanga nyuma mbele daima mwiko.
garasa hilo mkuuUnabisha? Hujui kuwa tuna streika la kimataifa MOLINGA.
Naenda pluto kwa miguu ikitokea Shadeeya
David Moringa a.k.a Mwarabu Fighter.Yanga walianza kufunga first half kupitia kwa Deus Kaseke, na baadaye kwenye dakika za lala salama (dk.94) Malindi wakasawazisha na hivyo mpira kuisha kwa magoli 1 - 1.
Niliyobaini kwenye mechi hii:
Kwanza;inaonyesha Yanga hawajajipanga kwa michuano mikubwa.Kwanini nasema hivyo?Huwezi kusema eti unaenda kushindana kwenye CAF CL huku kwenye maandalizi unacheza mpira wa hovyo,usio na mipango namna ile.
Pili;Kuna maeneo Yanga wamejitahidi kusajili.Nawapongeza kwa kuwa na Mohammed Issa 'Mo Banka', Deus Kaseke mpambanaji,na wengine wachache.Hawa jamaa wanajituma kwakweli,lakini wengine mmmmhhh...!!
Tatu;Huyu mchezaji mliyetufanyia surprise (David Moringa) ni mzigo kwa timu,yaani kwa huyu watani zetu mmepigwa mkapigika hasa.Hivi mlisajili mcheza soka, mbeba vitu vizito au bodyguard? Mechi dhidi ya Kariobangi nilimwona anaruka ruka tu kwenye zile dakika 5 alizopewa.Leo kafanya yale yale kwa dakika takribani 70.
Eti mlikuwa mnasema Simba imeibiwa kwa wale Wabrazil?Nyie itakuwa ni zaidi ya kuibiwa.
Anyway,watani zangu mna nafasi ya kujipanga kwa ajili ya TPL tu,huko kwingine wala msisumbuke.Na kwa aina ya wachezaji mlionao, malengo yenu mwaka huu nadhani ni kuishia nafasi ya 3 kwenye TPL.Mnasikitisha!😱
Labda CUF LIPUMBANyie mikia ongeeni porojo tu, Yanga ndio mabingwa wa CAFCL 2019/2020
Yanga nyuma mbele daima mwiko.
Yanga Nyuma mbele Daima mwikoNyie mikia ongeeni porojo tu, Yanga ndio mabingwa wa CAFCL 2019/2020
Yanga nyuma mbele daima mwiko.
Kwani Yanga wanasemaje juu ya hiloYanga Nyuma mbele Daima mwiko
Au Yanga mbele Daima nyuma mwiko
[emoji121][emoji115]