Kuanzia leo mashabiki wa Simba tutaanza kuwa na adabu kwa Yanga, tuache mbwembwe na kejeli zisizo za kimichezo, huo ni ushamba hasa Manara, huwa ananiboa sana.
Lazima tuishangilie timu yetu ila tusibeze wapinzani, timu zinaweza kuraise standards kwa mechi husika msiamini macho yenu.
Sent using
Jamii Forums mobile app