Daaahh, usingizi umenihujumu aisee, umenipitia kabla sijaweka mkeka. Nimezinduka mtanange ushaisha na kina Salah na Mane washakausha hadi majasho wanakula viyoyozi huku Mane anaperuzi taratibu na kimeo chake kilichopasuka kioo ....