FT: Mashujaa 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium 05.05.2024

Match Day
NBC Premier League
Mashujaa Vs Yanga
Lake Tanganyika Stadium

Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Mashujaa kutoka Kigoma itacheza na wageni wao timu ya Yanga kutoka Dar katika mechi ya NBC premier league ikiwa ni michezo yao ya 25 kwa msimu huu.

Unatarajiwa kuwa mchezo wenye ushindani mkubwa, kwani Mashujaa wanazihitaji sana pointi 3 ili kujiweka kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuendelea kushiriki ligi kuu huku Yanga wakihitaji alama 3 za kujihakikishia ushindi wa ligi mapema.
Utupe Updates mdau
 
Kikosi kinachoanza

20240505_152123.jpg
 
Back
Top Bottom