FT| Esperance 1-0 Simba SC l CAF champion League l Hammadi Agrebi Stadium l 24 Jan 2026 l 19:00HRS

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
11,858
Reaction score
36,543
Klabu ya Simba itacheza leo mchezo wa Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Esperance ya Tunisia, ikiwa ni mechi yake ya tatu katika kundi hilo. Simba iko mkiani mwa msimamo wa kundi ikiwa haina pointi, baada ya kupoteza mechi zake mbili za awali. Je, Simba itaweza leo kufufua matumaini yake ya kusonga mbele katika michuano hiyo?


 
Je mnyama atazinduka leo na kufanikiwa kuchukua alama tatu muhimu au ataendelea kuwa mgawa utamu? Full time EST 4 VS 1 SIMBA.
 
Hoo game kama una 1M una mpa Experance anshinde na goli tatu zipatikane maana Simba anaenda kupigwa sii chini ya goli 4. Timu lina cheza kipumbavu sana hili. Hakuna morali hata kidogo sijui tume rogqa na nani. 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…