FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

Yanga ni Aucho, Aucho anaituliza sana timu. Magoli yote mawili yaliyofungwa leo ni ya uzembe wa hali ya juu. Na pia inawezekana wachezaji wamechoka kutokana na mucheza mechi mfululizo ndani ya siku chache tena ni mechi zilizokuwa ngumu
 
Yeah sahihi....kuchoka pia
 
trust me aichukui league anafungwa match zote zinazo fatal
kwa hii lugha yako inaonekana hujui mpira mkuu.
Gamondi ni kocha na tactics anazo ila wachezaji leo ndio wamemuangusha.
Kibabage,Sure boy wamezingua sana leo.
Pia ile mechi hakutakiwa kumchelewesha Okrah,Okrah ile mechi ilikua inamuhusu sana.
GAMONDI KOCHA we subiri tumalizane na sundowns hakuna ataebaki kuwa kizingiti kwetu pale juu hatushuki ng'oo!
Kama Al ahly inafungwa na timu ndogo za Misri sembuse Yanga??
 
Kwa io pacome ndo alikua anacheza striker Leo?
Yanga hakuna mtu anayesimama pale mbele mpaka move ifike pale,goli la mzize mzize kautoa wapi mpira!?..kipindi Cha pili mzize alikua anatokea mashariki kule anaingia ndani,alipotoka ikawa kazi ya Aziz kutokea kule
 
Back
Top Bottom