FT | Al Ahly SC 1-0 Al Hilal Omdurman | Robo Fainali CAF CL | Cairo International Stadium | 01.04.2025

FT | Al Ahly SC 1-0 Al Hilal Omdurman | Robo Fainali CAF CL | Cairo International Stadium | 01.04.2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly SC dhidi ya Al Hilal Omdurman inachezwa leo saa 4:00 usiku kwenye dimba la Cairo International Stadium.

đź”´ Live updates utapata hapa!

IMG_3804.jpeg

Tazama vikosi vya timu zote (Team news)

1743531820468.png

Dahane Beida amepuliza kipyenga kuashiria mtanange umeanza

Al Ahly SC 0-0 Al Hilal SC

8' Al Ahly wanapata kona, Issa Fofana (GK) alipangua mchomo

11' Hany anawatangulia Al Ahly
13' Emam Ashour anafanyiwa madhambi (foul)

15' Mchezo umesimama kwa muda kutokana na majeraha ya Nejc Gradisar (Al Ahly)

16' Kadi ya Njano

Walieldin Khdir (Al-Hilal Omdurman) ameonyeshwa kadi ya njano kwa rafu Nejc Gradisar (Al Ahly)

30' Mabadiliko, Al-Hilal Omdurman. Ousmane Diouf anamchukua nafasi Taieb Ben Zitoun kutokana na majeraha.

Half Time

Al Ahly SC 1-0 Al Hilal​


Kipindi cha pili kimeanza | Al Ahly SC 1-0 Al Hilal

48' Jaribio. Wessam Abou Ali (Al Ahly) shuti la mguu wa kulia linatoka nje

64' Mabadiliko, Al-Hilal Omdurman. Adama Coulibaly anachukua nafasi ya Yasir Mozamil.

Dakika 6 zimeongezwa kukamilisha 90'
 
Leo ni usiku wa mpira hata kujigawa inakuwa shida
Macho yangu yatakuwa kwa hii game na Mc Alger vs Orlando
 
Nipo naangalia game ya Simba vs Horoya. Hawa Horoya naona wanapigishwa kwata. Wanaweza kupigwa hata goli 10.
 
Ila hawa Al Ahly wana adhabu ya muda gani kutojaza uwanja mbona kama ni muda mrefu sana naona mechi zao uwanja unakuwa nusu mtupu?

Itakuwa kuna siku mashabiki wao walikiwasha kisawasawa.
 
Back
Top Bottom