Mimi na future husband tuna watakia eid mubaraq watu wa humu mmu mkue na eid njema. Hatuja funga lakini tunashe rehekea eid 😂 Kama kuna kushe rehekea eid bila ya kufunga ramazan sasa kwanini tushinde na njaa sasa. EID MUBARAQ FROM US TO. WE LOVE YOU 😘❤❤❤❤