Katika client server system, server side admin wanaona kila kitu clients wanachofanya, nani kalog in muda gani, katuma nini etc.
Sasa kwa nini hao wenye system wakutegemee wewe u forward message wakati wao wana statistics zote?
Wakiamua ku run matrix kuangalia nani haja log in in the last 2 years wanaweza kupata hizo accounts, wakiamua kutuma hiyo message kwa users wao wote wanaweza, kwa nini wakutegemee wewe utume kwa contacts zako wakati wao wenyewe wanatakiwa waweze kuwatumia kama walivyokutumia wewe?
Halafu jina lenyewe "Suretech" hahaha.
Ona
Is David Suretech founder of Whatsapp? - Do we need to forward a messege from our cell phones to every single person on our contact list to confirm that we are active users? :: AskMeFast