frm Analog 2 Digital TCRA WAFANYA DILI....

frm Analog 2 Digital TCRA WAFANYA DILI....

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,775
Reaction score
37,969
Jana nilishangaa sana serikali kupitia tcra ati wanampango wa kubadilisha mitambo yao kutoka analog to digital
ni stage nzuri na ya kupongezwa laikini kutokan na ilivyoelezwa kuna kamnuzo nuzo cha ulaji...ati kuwepo na makampuni mawili ama matatu yatakayokuwa yamekabidhiwa kwa kazi hiyo so kampuni za itv star tv channel ten wakiitaji wawafwate hawa mabwana ndio waingizwe kwenye mpango wa digital...mmmaahhh jamani ama ndio sehemu ya kutafutia pesa za kampeni 2010....mbona mnataka kuwaumiza hivi watanzania....niliumia sana kusikia ati katika kila alufukumi ati serikali waanchukua alfu tatu\

uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii haya tuwaachie wenyewe
 
Back
Top Bottom