Friji za kuchanganyia juice

diva48 tz

Member
Joined
Jan 28, 2014
Posts
33
Reaction score
1
habari wana jf
naomba kufahamishwa kwa yeyote anayefahamu zinapouzwa izi friji za kuchanganyia juice na bei zake tafadhali anijulishe.

Nawakilisha
 
Hivi ni fridge zile eeh, Zinauwa kariakoo karibu na stend ya kwenda Ubungo/kimara bei 800k kwenda juu
 
Hivi ni fridge zile eeh, Zinauwa kariakoo karibu na stend ya kwenda Ubungo/kimara bei 800k kwenda juu

thnx mkuu ila nshaziangaliaga pale ckuziona.ngoja nikazichek tena vizur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…