Kuku wa Kabanga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2009 Posts 807 Reaction score 369 Apr 8, 2014 #1 Habari wadau,ninauza friji la vinywaji la westpoint milango miwili,limetumika kama miezi 6 na bado lipo kwenye hali nzuri,bei laki 9.
Habari wadau,ninauza friji la vinywaji la westpoint milango miwili,limetumika kama miezi 6 na bado lipo kwenye hali nzuri,bei laki 9.
georgeallen JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 4,120 Reaction score 1,892 Apr 8, 2014 #2 p Don Kamanga said: Habari wadau,ninauza friji la vinywaji la westpoint milango miwili,limetumika kama miezi 6 na bado lipo kwenye hali nzuri,bei laki 9. Click to expand... picha wapi? kula laki 2
p Don Kamanga said: Habari wadau,ninauza friji la vinywaji la westpoint milango miwili,limetumika kama miezi 6 na bado lipo kwenye hali nzuri,bei laki 9. Click to expand... picha wapi? kula laki 2
Kuku wa Kabanga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2009 Posts 807 Reaction score 369 Apr 8, 2014 Thread starter #3 Natumia Simu mkuu sijajua jinsi ya kuweka hiyo picha.
tata mvoni JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 534 Reaction score 81 Apr 10, 2014 #4 georgeallen said: p picha wapi? kula laki 2[/QU bora mkuu anataja laki tisa as if ni elfu tisini! Laki tisa unapata friji kubwa moja,ndogo moja na chenji inabaki Click to expand...
georgeallen said: p picha wapi? kula laki 2[/QU bora mkuu anataja laki tisa as if ni elfu tisini! Laki tisa unapata friji kubwa moja,ndogo moja na chenji inabaki Click to expand...
Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,892 Reaction score 5,084 Apr 10, 2014 #5 Lak9 paref pale mliman city unapata westpoint freezer kwa lak650000 mpya punguza bei na kama unaiona ni nzur kuuza kwa bei hyo bas ni vema ukabak nayo mwenye au umtumie ata bib ako kule kijijn akahfadhia viporo vyake
Lak9 paref pale mliman city unapata westpoint freezer kwa lak650000 mpya punguza bei na kama unaiona ni nzur kuuza kwa bei hyo bas ni vema ukabak nayo mwenye au umtumie ata bib ako kule kijijn akahfadhia viporo vyake