Friji inauzwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Friji inauzwa.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mwendabure, May 12, 2011.

 1. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,056
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Friji inauzwa ipo Mbagala Rangitatu. Double door, double compresor. Ipo ktk hali nzuri na inatumika. Bei ni Tsh. 300,000.(laki tatu) Kwa mawasiliano 0752 376878.
   
 2. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mbagala?
  Ipo dukani au kwa mtu, imetumika miaka mingapi, compressor imefunguliwa mara ngapi, ni ya kampuni gani?
   
 3. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  fafanua vizuri basi mkuu....
  kuweka namba za simu sio hoja.
   
 4. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,056
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Mkuu kama namba ya simu si hoja kwako, kitu gani ni muafaka ili kupata ufafanuzi kutoka kwa muuzaji?
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Friji Mbagala? kuhusu mambo ya usafi ndani uko vipi? mende je?
   
 6. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #6
  May 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,056
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Mkuu! Friji ipo Mbagala kwa mtu na ipo ktk hali nzuri. Compressor hazijafunguliwa hata! Tuwasiliane mkuu!
   
 7. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #7
  May 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,056
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Mkuu sitanii kwa hili.
   
 8. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #8
  May 12, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ahahahahahha hapo kwenye mende umeni-vunja mbavu zangu dah...wabongo tunamambo sana
   
 9. c

  chelenje JF-Expert Member

  #9
  May 12, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Friji mbagala....!!! haiingii akilini kwa mtu kwamba friji ya mbagala inauzwa jf...haina mabaki ya mabomu???????????????????????????????
   
 10. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #10
  May 12, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  hala hala isije ikawa ni microwave mwenzetu akadhani ni jokofu
   
Loading...