Friji bei poa

ndaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
347
Reaction score
49
Salaam wadau...nauza friji yangu used kama ifuatayvo:
Make ni LG,Rangi ya silver,inasehemu ya juu ya barafu na chini ya kawaida.Bei ni laki 2 tu.Ipo Dar.Mawasiliano 0689900000
 

Attachments

  • 1423132465832.jpg
    38.3 KB · Views: 592
  • 1423132501405.jpg
    35.6 KB · Views: 540
ipo in use kwa muda gani toka itoke shop au na wewe ulichukua second hand?
naomba ufafanuz.
 
Salaam wadau...nauza friji yangu used kama ifuatayvo:
Make ni LG,Rangi ya silver,inasehemu ya juu ya barafu na chini ya kawaida.Bei ni laki 2 tu.Ipo Dar.Mawasiliano 0689900000

Mkuu mm nataka hilo la american style milango miwili chapchap sh ngapi
 
Hii nilinunua mpya...sasa nimepta hii 2 doors ndio maana nauza wakuu
 
Nimekutumia sms mbona usemi hiyo friji ipo dar sehemu gani?
 
WADAU Nami Nauza used friji laki mbili na nusu liko vizuri kabisa..
* Lina sehemu mbili chini linagandisha juu kuhifadhia
* Rangi ya Nyeupe
* Ni kubwa kwa hilo la jamaa
* Nipo Dar kijitonyama
* Lina mwezi wa pili sasa toka nichukue Kariakoo
* Bei nafuu kabisa 250,000/-
* Ninaliuza nina shida ya kulipa kodi ya nyumba kwa
kwa sababu ya shida....

KARIBUNI TUWASILIANE PM....
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…