Frankdaniel711
JF-Expert Member
- Oct 8, 2018
- 366
- 140
Hahahaha aya bhana ilo sina na sijawai kuliona ndio nimesikia kwako nitumie picha yake nilioneUna fridge linalotumia mafuta ya taa?
Sawa kakasawa
NdioFrig = fridge
Sina ilo nilizo nazo ndio izo mkuuRefrigerator ambayo ni transparent mbele (lina kioo) unayo weka bei yake according to the size.
Poa naweza pata wapi na bei yake yapoje nahitaji Ma4Sina ilo nilizo nazo ndio izo mkuu
Kaulizie Kariakoo naisi utapataPoa naweza pata wapi na bei yake yapoje nahitaji Ma4
Okay poa kiongoziKaulizie Kariakoo naisi utapata
Siuna semea zile kama za kuuzia vinywajiOkay poa kiongozi
NdioSiuna semea zile kama za kuuzia vinywaji
We uko wapi kwaniNdio
Nipo chuga ila zinatakiwa mbeya next week nitakuwa hapo kutafuta hizo.We uko wapi kwani
Zitakuwepo ofisini izi lakin nipo darNipo chuga ila zinatakiwa mbeya next week nitakuwa hapo kutafuta hizo.
Nitakucheck nikifika huko next week.Zitakuwepo ofisini izi lakin nipo dar
Nitakucheck nikifika huko next week.
mara ya kwanza kuona fridge ya kutumia mafuta ya taa ilikuwa 1989 dar, then nikaja kuliona tena 1999 dongobesh.Hahahaha aya bhana ilo sina na sijawai kuliona ndio nimesikia kwako nitumie picha yake nilione