Hello jf love connect, naitwa Sean 28 Male,Dar. Napenda Muziki,Kuogelea,Beach,Kusafiri&kuwa na furaha. Mmi ni graduate wa 2011 ila kwa sasa ninafanya kazi. Nahitaji marafiki wa jinsia yeyote. Kama utapenda tafadhari nitafute kwa kupiga simu au ujumbe wa maandishi kupitia 0688 65 82 92 .Asanteni