Friends forever,Inasisimua mno!

ndu ule ujumbe kuwa sisi hatujakutana barabarani.
 
Utengano wao utakuja baada ya mmoja wao au wote kuoa.
 
Sio mapacha kweli?? So nice!
 
Baadae wanakuja kugombanishwa na kitu kidogo sana...
 
Ndio maana watoto wanaitwa Malaika.

Wana upendo wa kweli
 
Daaaah hadi nimewamiss marafiki zangu wa utotoni,enzi hizo tunaweza kuvua mashati/t-shirts na kubaki vifua wazi!
Oooh,I miss those days!
 
"The innocence of children!" Yesu alisema, yeyote atakayeweza kuwa na moyo kama wa mtoto, njia ya kwenda mbinguni ni nyeupeee!
 
Daaaah hadi nimewamiss marafiki zangu wa utotoni,enzi hizo tunaweza kuvua mashati/t-shirts na kubaki vifua wazi!
Oooh,I miss those days!
Mkuu kwani we ni me?samahani lakini
 
Mkuu kwani we ni me?samahani lakini
Ke....sidhani kama suala la kubaki kifua wazi kwa watoto linahusisha jinsia.
Kila mtu na lifestyle yake ya utotoni anyway....
 
Inapendeza sana, tofauti ya uelewa wa masomo ndio iitaanza kuwatenganisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…