Friday Night Live bila Sam Misago

Kuna hilo fyekeo linaitwa Sepenga yaani halina script kichwani linaenda tu.

Siku moja likasema hewani eti lenyewe linapenda wanawake wenye pesa wenye kujua kuhonga. OMG!!!

King Smarsh anajua sana kuteka jukwaa kwenye vipindi vya burudani ila akiwepo huyo Sepenga yaani anakurupuka kama kiini cha mbegu za kiume.
 
Hivi ni dume yule kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…