Friday Greetings

Friday Greetings

na mheshimiwa rais nimemfikishia salam alienda kumsalimia babu loliondo.weekend njema kwa wote
 
Thanx alot my dear ricky.. Lets toast to the happy weekend!! (toast ya juice though.. Sio ndovu!)
 
Namsalimia mume wangu judgement tu, wengine wote naombeni msubiri salamu part 2. Lol, msinune jamani. Nawasalimu wote. Nawapenda sana.

Asante wife ! Umenipa chachandu nizidi kukutunzia MNOFU wako! Abadan unakula peke yako!
Hakuna cha Mwanga wala Mchawi Mammiy!
Nofu ni Nofu lako tu!
 
Namsalimia mume wangu judgement tu, wengine wote naombeni msubiri salamu part 2. Lol, msinune jamani. Nawasalimu wote. Nawapenda sana.
Hahahaaaaa sawa mama naniiii
 
sijui nimsalim nani...nimuache nani...Ericky braza angu na mkewe Amyner wakiwa DUKABOVU arusha...aaaaah kama vip wengine jiongezeni...sitaki lawama mm wajameni...nawapenda sana!...kitu ndovu baridi huku MUSOMA...ni pazuri kusema ukweli...
 
Thanx alot my dear ricky.. Lets toast to the happy weekend!! (toast ya juice though.. Sio ndovu!)
Yes mumy.....
Cheers......
Yan leo inabidi kula happy kwa raha zetu....
 
sijui nimsalim nani...nimuache nani...Ericky braza angu na mkewe Amyner wakiwa DUKABOVU arusha...aaaaah kama vip wengine jiongezeni...sitaki lawama mm wajameni...nawapenda sana!...kitu ndovu baridi huku MUSOMA...ni pazuri kusema ukweli...
Dah dogo tumeziokea kwa shangwe sana....Amyner hajambo....Kula kitu ndovu uone maisha kwenye mwanga bora ila usiwachokoze akina Muraa watakutoa nanii....
Salamu kwa Mtei One Kokote aliko...Nammiss sana
 
No no 52 alishaniPM kua anaanzisha Uzi then ananipigia pande - pasi ndefu kwangu then mi natiririka nayo!
Kijana najua ndani ya jiji unakula raha....inabidi twende pale Vila tukashtue zile ngoma zetu za enzi zileeeeee siunajua mambo ya umri....kunesanesa taratibu....mambo ya oyooo yoooo tunawaachia akina Malingolo na Bagah
 
Unadhani ataishia kupakatwa tu? Ataveshwa na apron shingoni na atanyweshwa Urojo!
Simba SC au Simba pori?
Hahahaaaaa dua la kuku.....halitupati ng'oooooo mtakesha na sisi tunasongaaaaa
 
Asante wife ! Umenipa chachandu nizidi kukutunzia MNOFU wako! Abadan unakula peke yako!
Hakuna cha Mwanga wala Mchawi Mammiy!
Nofu ni Nofu lako tu!
Wachawi hakuna au hawajafika....
Lol ngoja kuna mtu hajafika hapa...utaona atakavyologa....
 
Wkend njema wakuu.
Mi is on diet, no ndovu, no soda, no mbege ni maji tu kwenda mbele
 
Back
Top Bottom