frequeny za tbc

nimejaribu hizo frequency imegoma tatizo ni nn?
 
nimeangalia kwenye flysat wameandika ni Horizontal badala ya vetrical inakuaje?

kuhusu vertical na horizontal inadepend na fibre ya kwene lnb imewekwaje.. So ikigoma horizontal badili uweke vertical😀
 
Ooh,imekubali nina kama miezi mitatu siipati,vipi kuhusu chanel ten mwenye freguincy saidia mimi
 
tbc finally umekubali thanx, naomba pia frequency za UJALA TV na dunya entertiment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…