Frequency za redio Dar zilishajaa. Vipi WCB wamepata?

Frequency za redio Dar zilishajaa. Vipi WCB wamepata?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,672
Reaction score
3,737
Kwanini wao wamepata? Wakati watu wengine kila wakiomba wananyimwa mpaka wanaenda mikoani?
Ni nani yupo nyuma yao
 
Brother uwe unajaribu kusoma nyuzi mbalimbali zinazohusu unachotaka kukiandika kabla hata hujaandika chochote majibu yapo humuhumu kitambo sana.
 
Brother uwe unajaribu kusoma nyuzi mbalimbali zinazohusu unachotaka kukiandika kabla hata hujaandika chochote majibu yapo humuhumu kitambo sana.
Siwezi kusoma kila kitu kama kuna taarifa weka link
 
  • Thanks
Reactions: etb
Back
Top Bottom