Kwa nini uogope kuelezea. Thats not too personal maana Wabongo waliotoka nje wapo wengi na taarifa zao zitafanana tu na zako. Kuna taarifa ni too personal to tell ila sio hizo nilizokuuliza mimi
Nita travel. Bado mimi ni too young naamini muda upo wa kufanya hivyo.
Nina mpango wa kusafiri sana nikiwa na my life kama nisipokufa mapema of course. Kwa sasa sina uwezo huo
Ila nilikuuliza hilo swali maana nimechukia hiyo statement ya "Hauna exposure".
It was so rude and unnecessary
And yeah, Ulaya kuna wengi hawajui Kiingereza kwa sababu kila nchi wanaongea lugha yao. Na lugha za Ulaya ni nyingi, sio tu Kifaransa