Weka picha mahali ilipo.....
Maana maswali yaliyozuka yanahitaji ushahidi dhaahiri ili ajaye kupanga kupitia JAMIIFORUMS isionekane ametapeliwa..... na pia apewe ushauri murua......hapo tutakuwa tumeifanya JF the best online marketing with people to trust!..... JF IS NOT "NIGERIA LIKE" WEB CON MEN SITE