Habari wana JF.
kwa anayehitaji fremu za bei nafuu za biashara maeneo ya Buyuni CCM (Kwenye Mradi wa Viwanja 20,000 Buyuni) tuwasiliane kwa namba 0657621427. Fremu ziko sehemu nzuri kwa biashara - barabarani zinatazamana na kituo cha daladala cha Buyuni CCM kama unaelekea Chanika. Fremu ziko kwenye hali nzuri (zimepakwa rangi, zimewekewa ceiling board na zina umeme).