Fremu ya biashara

Fremu ya biashara

annie baby

Member
Joined
May 4, 2017
Posts
45
Reaction score
25
Fremu inapangishwa maeneo ya biafra karibu na kinondoni revival church...fremu n shilingi 70000 elfu..nachukua kwa miezi sita...n dm kwa maelezo
 
Ina chumba humo humo? biashara sikuhizi unaponea humo humo duka na malazi
hahaaaa km utani lkn n kweli kbsaaa, ya nn upange vyumba viwili km bado kipato kdg, mwisho wa siku hela ya faida inaishia kulipia pango B, km hamna chumba hata kwenye droo ya pesa unalala.
 
hahaaaa km utani lkn n kweli kbsaaa, ya nn upange vyumba viwili km bado kipato kdg, mwisho wa siku hela ya faida inaishia kulipia pango B, km hamna chumba hata kwenye droo ya pesa unalala.
we jamaa kila nikisoma comments zako lazima nicheke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom