Fremu ya biashara inapangishwa

Fremu ya biashara inapangishwa

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
95
Ni nzuri , ina mlango wa kii wa ku-slide, na floor tiles nzuri. Fremu hii ipo barabara ya changombe na inatazama bara bara hiyo. Ipo kati kati ya maduka mawili na bora
bei ni tshs. 90,000 kwa mwezi na mkataba ni wa miezi sita sita
wasiliana na 0654 772143, no. Nyingine ni 0713 68 96 65
ukubwa wa chumba ni futi 6 kwa 10, njoo uone mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom