Fremu inapangishwa

Jodeo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
1,286
Reaction score
1,333
Habari wadau?
Kuna fremu nzuri inapangishwa katikati ya mji wa morogoro. Opposite na Vodashop morogoro. Ni fremu ya nne kushoto mwa exim bank.

Kwa maulizo piga no. 0744537265.

Karibuni.
 
Biashara zimekuwa ngumu sana aise, mpaka frem iliyo jirani na bank inatangazwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…