Fremu inapangishwa Ubungo karibu na stand mpya

Fremu inapangishwa Ubungo karibu na stand mpya

SPOTLESS CAVE

New Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
4
Reaction score
0
Chumba cha fremu ya biashara kipo maeneo ya ubungo karibu na stand mpya na pia ni karibu na chuo cha Sheria (UDSM Law School) tsh 150,000/- kwa mwezi. Anayehitaji.

Tuwasiliane 0772 883 566.
 
Chumba cha fremu ya biashara kipo maeneo ya ubungo karibu na stand mpya na pia ni karibu na chuo cha sheria (udsm law school) tsh 150,000/- kwa mwezi. Anayehitaji tuwasiliane 0772 883 566.

Hicho chumba kina ukubwa gani?
Weka hata picha za mazingira ya nje basi.
 
ukubwa wa chumba, picha za ndani tuone finnishing, na picha za nje tuone mazingira ya kibiashara.
 
Je unapokea kodi kwa miezi mitatu.

Tafadhali weka picha .
 
Mi ni mpangaji so ni kama nauza mkataba ila nakukutanisha na mwenye nyumba pia.
 
Mi ni mpangaji so ni kama nauza mkataba ila nakukutanisha na mwenye nyumba pia.

Mkuu kama ndivyo nilivyoelewa ina maana wewe ulipanga hiyo fremu kwa 12month umefanya miezi miwili na sasa unatnga na wewe kuipangisha kwa mda wa miezi 10 iliyobaki.Unaweza ukaweka wazi kwanini unasitisha mkataba? Hapalipi hapo? Kama panalipa kwanini unapaacha? kuwe muazi 1.5m kuitoa mfukoni wakati wewe mwenyewe unajua hakuna biashara ni ufisadi.
 
pasipolipa kwake panalipa kwa mwingine. hata kariakoo watu wanauza fremu sheikh...usiogope kuingia aliposhindwa mwenzako, huenda biashara aliyoweka haifai maeneo yale, au mbinu zake hazikuwa nzuri, au mtaji wake haukuwa mzuri, au amepata sehem nyingine nzuri zaidi, au anahamia mkoa mwingine nk.
 
Back
Top Bottom